News and Updates

Pamoja katika kupunguza miguu kifundo

“Pamoja katika kupunguza miguu kifundo” Katika kuhakikisha kila mtoto anayezaliwa akiwa na tatizo la mguu kifundo anafikishwa mapema katika kliniki zetu na kupata matibabu yatakayompelekea kupona mapema, kliniki zote zinazotoa matibabu haya chini ya taasisi ya miguu kifundo Tanzania “TCCO” zimejipanga kuyafikia maeneo yoote yaliyopo mbali na kliniki zetu ....
Read More

Ponseti method testimony

Ponseti method testimony As we opened four new clinics in  november 2016 and introduced ponseti method. This is how new team mate say after practicing ponseti techniques. ”  Since we started using ponseti technique we have learnt that it is a good method for treating clubfoot, for the following reasons....
Read More

Shiriki kutokomeza mguu kifundo

Katika kuweza kufikisha ujumbe katika jamii zetu hasa ambazo bado hazijawa na elimu juu ya matibabu haya tuna njia ambazo huzitumia kufikisha taarifa juu ya matibaabu haya na wapi yanapatikana. Njia hizo ni pamoja na; Kubandika vipeperushi. Kutoa matangazo ya Radio na Televisheni. Mikutano, hapa huwa tunatembelea maeneo yao.  ...
Read More

Matibabu ya miguu kifundo hurejesha amani ya familia.

Ilikuwa ni tarehe 24/08/2016 siku ambayo familia ya bwana na bibi Juma Abdul ilifanikiwa kumpata mtoto wao wa kwanza katika hospitali ya mkoa Sekou Toure iliyopo jijini Mwanza. Ilikuwa ni furaha iliyogeuka kuwa huzuni kwa familia hiyo baada ya kubainika na kuthibitishwa na daktari pamoja na wauguzi  kuwa mtoto wao...
Read More

Refresher course training held in mwanza

The training was organized by BCCP and held in mwanza region for two days, one day for theory and one for practical. Training involved 10 clubfoot clinics that are under BCCP support  namely, Bugando and Sekou toure from mwanza region, St Gaspal “Itigi” from Singida region, Sengerema and geita gorvement...
Read More

New clubfoot clinic’s that were launched in 2016.

After being satisfied with  ponseti technic in clubfoot  management from Health practitioners who attended basic ponseti method training at Shinyanga region on 21 to 23 September in 2016, we have officially added four 4 new clubfoot clinics  to our TCCO family. These Clinics will be supported by Bugando Clubfoot care...
Read More

Working together is success

  Teamwork makes the dream work . The Plasterhouse are one of our clinics in the Northern Zone. Regularly they come to URRC with patients that need night casts or tenotomies. This also gives us a platform to revise the basic steps of Ponseti together and discuss complicated cases we...
Read More

Four new clubfoot clinic’s to start in October

This was the basic training which involved training health professionals that will be providing clubfoot management at our 4 new clubfoot clinics that will be supported by BCCP under TCCO.   The training was held at shinyanga  region from 21 to 23 september in october, we usually have to train...
Read More